Naomba mnisaidie kuhusu hiki chuo kwan nina mdogo wangu amemaliza hapo st jonh diploma mwaka jana.Wakat ametuma maombi walimuambia km ana credit tano o'level anaweza chukua diploma,Niliwauliza inawezekana vp mtu atoke form four aje achukue diploma na sio kwanza certificate??Walinijib wameongea na nacte na wameruhusiwa!Ameshamaliza hyo diploma na ametuma maombi tcu kwa ajili ya mkopo ili akachukue bacheror.Wameshindwa kumpa kumtambua na kumuambia akasome certificate kwanza..Je,wkt st jonh's anatuambia wameshaongea na nacte walikuwa wanatudanganya au la??Naomba mnisaidie,nawasirisha