2007, eti ni dogo na anategemea umtafutie solution jaman, mbona huyo ni mzee kabisa watu wa 2010 wana ndoa zao yeye anajiita dogo
Daah yani cha kukusaidia hawa jamaa wa st joseph wapo aftermoney sana kuwa makini nao huyo dogo wako anaweza xoma kisha mwisho akambiwa chuo hakitoi degree wanatoa certificate tu
Ushaur wangu ntafutie chuo chochote chenye hadhi yake.
Mimi nasema hiyo kwasababu nasoma hiyo st joseph 3yrs programm ktk campus ya arusha xo nawajua fika