St. Joseph application mwisho lini?

St. Joseph application mwisho lini?

bab-D

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Posts
1,215
Reaction score
322
Habari za mda huu wana jf.
nimefungua web ya st.joseph sioni application dedline, kuna dogo hapa Kamaliza f4 2007 anataka kujiunga na agriculture collage ya st.joseph ya 5yrs kama kunaanaye fahamu anijuze pia fee structure yao ikoje?
natanguliza shukrani
 
Waweza kulaaniwa kwa kutokujua,maana nina hakika mdogo wako atakulilia japo utakuwa umeshatoa ada.:canada::canada:
 
2007, eti ni dogo na anategemea umtafutie solution jaman, mbona huyo ni mzee kabisa watu wa 2010 wana ndoa zao yeye anajiita dogo
 
2007, eti ni dogo na anategemea umtafutie solution jaman, mbona huyo ni mzee kabisa watu wa 2010 wana ndoa zao yeye anajiita dogo

Hajiiti dogo mi ndo namuita dogo kwani ni mdogo wangu, pia aliniuliza nikakosa jibu, ndo nauliza kama naweza pata jibu nimsaidie ushauri,mi sioni kibaya hapo
 
Daah yani cha kukusaidia hawa jamaa wa st joseph wapo aftermoney sana kuwa makini nao huyo dogo wako anaweza xoma kisha mwisho akambiwa chuo hakitoi degree wanatoa certificate tu
Ushaur wangu ntafutie chuo chochote chenye hadhi yake.
Mimi nasema hiyo kwasababu nasoma hiyo st joseph 3yrs programm ktk campus ya arusha xo nawajua fika
 
Duh! asante umeniogopesha na umenifanya niwaogope kabisaaa hawa jamaa.asante mkuu
 
Back
Top Bottom