R rightstrict Senior Member Joined Aug 25, 2014 Posts 100 Reaction score 15 Sep 26, 2014 #1 naomba kusaidiwa kama chuo hiki kimeshatoa majina ya waliodahiliwa mwaka huu...natanguliza shukran na samahani kwa usumbufu.
naomba kusaidiwa kama chuo hiki kimeshatoa majina ya waliodahiliwa mwaka huu...natanguliza shukran na samahani kwa usumbufu.
R rightstrict Senior Member Joined Aug 25, 2014 Posts 100 Reaction score 15 Sep 26, 2014 Thread starter #2 kama itakua ni tayar...naomba nisaidiwe link au namna ya kuyapata...mana kwenye website yao hawaeleweki
kama itakua ni tayar...naomba nisaidiwe link au namna ya kuyapata...mana kwenye website yao hawaeleweki
The End.. JF-Expert Member Joined Aug 13, 2013 Posts 4,357 Reaction score 3,835 Sep 26, 2014 #3 ukiingia ile sehemu ya news & events utagundua wameachia majina ila server ipo busy subiria asubuhi inaweza ikawa sawa!!!
ukiingia ile sehemu ya news & events utagundua wameachia majina ila server ipo busy subiria asubuhi inaweza ikawa sawa!!!
Y Young Kibaka JF-Expert Member Joined Oct 6, 2012 Posts 319 Reaction score 46 Sep 26, 2014 #4 http://www.sjuit.ac.tz/tcunew.php inaeza kusaidia pia nahisi majina wamechanganya
R rightstrict Senior Member Joined Aug 25, 2014 Posts 100 Reaction score 15 Sep 26, 2014 Thread starter #5 ahaa...ahsanteni sana wakuu...ntajitahid niangalie...na kama kutakua na mpya naomba tujuzane...please
ahaa...ahsanteni sana wakuu...ntajitahid niangalie...na kama kutakua na mpya naomba tujuzane...please