St. Joseph college of agricultural science and technology,songea(SJCAST)

St. Joseph college of agricultural science and technology,songea(SJCAST)

rightstrict

Senior Member
Joined
Aug 25, 2014
Posts
100
Reaction score
15
naomba kusaidiwa kama chuo hiki kimeshatoa majina ya waliodahiliwa mwaka huu...natanguliza shukran na samahani kwa usumbufu.
 
kama itakua ni tayar...naomba nisaidiwe link au namna ya kuyapata...mana kwenye website yao hawaeleweki
 
ukiingia ile sehemu ya news & events utagundua wameachia majina ila server ipo busy subiria asubuhi inaweza ikawa sawa!!!
 
ahaa...ahsanteni sana wakuu...ntajitahid niangalie...na kama kutakua na mpya naomba tujuzane...please
 
Back
Top Bottom