St joseph college of Engineering( dar es salaama,Tanzania)

St joseph college of Engineering( dar es salaama,Tanzania)

Oppotunity

Member
Joined
Sep 9, 2013
Posts
38
Reaction score
12
Salam wana jf,
mimi ni mwanafunzi wa chuo tajwa hapo juu mwaka wa pili kwenye fani ya CIVIL ENGINEERING (B.ENG.CIVIL) malengo yangu makubwa ni kuhakikisha ndani ya hii miaka minne ( course duration) napata elimu bora itakayoweza kupanua uwezo wangu wa kutatua changamoto zinazonikabili mimi na jamii kwa ujumla na pia kujenga mawazo chanya yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye karne hii ya sayansi na technologia. nachotaka kutoka kwenu ni kwamba naamini humu ndani kuna watu mbalimbali (ndani na nje ya Tz) wenye elimu kubwa na uzoefu wa kutosha Kwenye fani mbalimbali. since EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER then naomba kushare experience yenu
1) mliosoma kwenye hiki chuo sasa hivi mpo wapi?? na sasaivi mpo kwenye level gani ya mafanikio (whether umejiajiri au kuajiriwa)
2) je kwa wamiliki wa makmpuni binafsi (engineers,contractors.etc)au mliopo serikalini kuna watu mliowaajiri wanaotoka hapa?? i mean product za st joseph mnazo huko?? vip utendaji wao???
 
mimi ni mwanafunzi hapo mwaka wa tatu,,wakati wa hii likizo fupi nilipata kufanya kazi na tanroad,,real i was enjoy,,,zingatia ya darasani kwa level kwa sasa zingatia sana hizo pratical za survey na building science....kwani ni msingi mkubwa hasa wakati wa field,,pia mimi mwenyewe nimeweza kusimamia na kudesign sheli pale maeneo ya usalama na ujenzi unaendelea...hivyo usijali
 
nashukuru mkuu hakika ninazingatia sana masomo na nipo serious katika hilo kama upo hapa nitakutafuta tuongee zaidi
 
Haya maswali ungeuliza kabla hujajiunga kwenye Chuo tajwa ningekuelewa

~....~franktosho siyo kwamba nataka kubadili direction au najutia kuwa hapa big NO!! i just wanted you guys to share you experience with me.
 
Back
Top Bottom