Oppotunity
Member
- Sep 9, 2013
- 38
- 12
Salam wana jf,
mimi ni mwanafunzi wa chuo tajwa hapo juu mwaka wa pili kwenye fani ya CIVIL ENGINEERING (B.ENG.CIVIL) malengo yangu makubwa ni kuhakikisha ndani ya hii miaka minne ( course duration) napata elimu bora itakayoweza kupanua uwezo wangu wa kutatua changamoto zinazonikabili mimi na jamii kwa ujumla na pia kujenga mawazo chanya yenye kuleta mapinduzi makubwa kwenye karne hii ya sayansi na technologia. nachotaka kutoka kwenu ni kwamba naamini humu ndani kuna watu mbalimbali (ndani na nje ya Tz) wenye elimu kubwa na uzoefu wa kutosha Kwenye fani mbalimbali. since EXPERIENCE IS THE BEST TEACHER then naomba kushare experience yenu
1) mliosoma kwenye hiki chuo sasa hivi mpo wapi?? na sasaivi mpo kwenye level gani ya mafanikio (whether umejiajiri au kuajiriwa)
2) je kwa wamiliki wa makmpuni binafsi (engineers,contractors.etc)au mliopo serikalini kuna watu mliowaajiri wanaotoka hapa?? i mean product za st joseph mnazo huko?? vip utendaji wao???