L likilaza la dmi Member Joined Nov 9, 2014 Posts 20 Reaction score 5 Nov 9, 2014 #1 Hawa jamaa wana mtindo mbaya sana, fungu wanalopewa kwa ajili ya wanafunzi wao hufanya biashara zao zizae ndo waanze kuzigawa mambo yakiwaendea ndivyo sivyo wanagawa pesa robo robo hizi tabia za kijinga wanataka watu tuishije
Hawa jamaa wana mtindo mbaya sana, fungu wanalopewa kwa ajili ya wanafunzi wao hufanya biashara zao zizae ndo waanze kuzigawa mambo yakiwaendea ndivyo sivyo wanagawa pesa robo robo hizi tabia za kijinga wanataka watu tuishije
Erick Richard R-Madrid JF-Expert Member Joined Oct 3, 2014 Posts 399 Reaction score 282 Nov 9, 2014 #2 na ------- LOAN BOARD wanawakaushia tu...