likilaza la dmi
Member
- Nov 9, 2014
- 20
- 5
Hawa jamaa wana mtindo mbaya sana, fungu wanalopewa kwa ajili ya wanafunzi wao hufanya biashara zao zizae ndo waanze kuzigawa mambo yakiwaendea ndivyo sivyo wanagawa pesa robo robo hizi tabia za kijinga wanataka watu tuishije