SJUIT wametoa majina ya waliopata mkopo jicheki hapo down
http://www.sjuit.ac.tz/news/loan-list-sjuit.pdf
Hawa jamaa wamezinguaaa, sasa mbona wametoa majina tu bila allocated amount?
check amount allocated kwenye account yako ya heslb..
Ok, poa sana mkuu!
pouwa bt hawajatoa asilimia mia kwa upande wa ada.
Duuuh, mwana mbona sioni kipya, naona vya siku zote tu, au una-click link gan ili kuona hiyo allocation?