St. Joseph, majina ya waliopata mkopo 2014/2015

St. Joseph, majina ya waliopata mkopo 2014/2015

nashukuru kaka vp mbona hamna asilimia au kiasi
 
hamna kiasi mbona alafu naona kama wote wamepata
 
Duuuh, mwana mbona sioni kipya, naona vya siku zote tu, au una-click link gan ili kuona hiyo allocation?

ingia heslb kwenye loan applictn utaweka detail zako za fom 4 then enter..wapata detailz zako zote za mkopo..ada..meal...specio req
 
Back
Top Bottom