St. Joseph registration imeanza

St. Joseph registration imeanza

Jiandae kwa mchakamchaka wa miaka minne, ila kumbuka ukipata supp ukashindwa kuichomoa unarudia mwaka, so miaka inaweza ikawa zaidi ya minne ikitokea hivyo.
 
uwe makini kitabu cha hapa ni kigumu kidogo,nazani hii ni kutokana na asili ya masomo yenyewe
kuna mitihani=36 per semester
kuna practical za kutosha kila semester
kuna maswali ya mdomo wakati wa mtihani wa practical baada ya kufanya huo mtihani wanakuwa kama wanakufanyia interview(huku tunaita viva voce)
kila somo utafanya assignment 10 per semester@12=120
mengine mengi utayakuta
kwa swala la kitabu usiwe na wasiwasi usitishike na wanaoshinda humu kujitapa eti wapo UDSM wakati ni vilaza wa kutupa tukikutana nao kazini(nina ushahidi wa kutosha)

Asante mkuu, nimepata ufafanuzi. kwan wengi walikuwa wananiogopesha. na je kurepot ln kwa wale wa first year?
 
Pm yako haijafika, nimekutumia namba ya simu ni-beep tu mkuu!
 
unatakiwa uwe strict na ratiba...utoro hauruhucw cos hufany end exam kama unaattendance below 85%

maswala ya registration yawe on time....

huiingii class nyuma ya mwalimu.....

class ni saa mbili....

asante sana ila ndugu kwenye website yao hawajatoa reporting day, registration form, ni update kama unajua
 
mh vpi ubora wa st joseph ile campus ya arusha wakuu maana watu wanatutisha sana et chuo hakina ubora
 
Mwambie bwana eti anataka aambiwe hadi fee structure? Badae ataomba na ratiba ya masomo humu

Ataomba na past paperz na vinondo vya darasani.poor boy.jishughulishe.nenda kasome mengine utayajua ukouko.utakuta wenzako utajifunza.hapa jf usitegemee cha maana
 
huoo ndo usenge wenywe ---- la mama ko mbwa ww,watu wako serious ww unazingua tenah ---- lako mbwa ww,mamboo ya kisenge hayoo malaya wa baa ww

:confused2::confused2::confused2: Wewe ndio upo serious hapo!!.
 
Back
Top Bottom