mwasambili
Senior Member
- Oct 28, 2013
- 151
- 77
nahisi kufungua itakuwa tarehe 29/09/2014
kwa uhakika zaidi jaribi kuja chuoni na nimeku PM namba yangu
kwa uhakika zaidi jaribi kuja chuoni na nimeku PM namba yangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WATANZANIA HUWA TUNA MOYO WA UPENDO, bt nyie cjui mmerithi roho ya nani? nyie mtakuwa m23 au boko haramu. kama hujui kitu bora utune
hata hvo co mbaya ukinielezea juu ya life la pale
sasa jee bora ukae kimya tu:confused2::confused2::confused2: Wewe ndio upo serious hapo!!.
sasa jee bora ukae kimya tu
kaka so st joseph zote znaanza registration muda huo au ni hao wa engeneer tu?
engineer tu
kama untaarifa iliyokamilika iweke humu.
Hao wangine ambao sio wa enginearing wataanza reg. lini?
We ukibahatika kuingia chuo lazima udisco!
kuhusu waliokua sio enginering taarifa zao sizijui kwasababu mi nimeletewa ripoti za engineering tu katika email yangu
nshaingia na matokeo yangu mazur yaani ww unaongelea chuo kumbe mm nilizani kuingia jela
Mkuu kwa level ya University inabidi jizoeshe kutafuta information mwenyewe ukizoea kutafuniwa itakuwa shida.Swali ulivyouliza inaonesha hata Web ya chuo hujajishughulisha kufungua
Wewe utadisco mwaka wa kwanza tu, ukidisco ukumbuke kunieleza.
Kama kudisco udsm ni hali ya kawaida ila inategemea coz uisomayo!!
campus ya arusha wanafungua lini?