St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

hamis77

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
13,628
Reaction score
20,992
Unakuta mtu ana FEE , katika PCM anaenda kusomea civil au electrical. Hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunzi wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu

CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
 
unakuta mtu ana f e e ,ktk pcm anaenda kusomea civil au electrical eng. ,hebu waige mfano udsm mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale coet lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, chemical and processing eng ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa physics, pia ktk hata fani nyingine .
wataalam ni wachache sana ndiyo maana inatokea hivyo
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

ST.JOSEPH ni kama Korogwe TTC
 
Wadosi ela mbele mengine yatafata baadae
 
TCU waangalie hili swala, elimu nchin imeshuka sana, kwa kutozingatia vigezo vya msingi,
 
Mleta uzi fanya uchunguzi kwanza,

As far as i know ni kwamba kama hauna principle mbili na subsidiary moja basi hauwezi kupata admission chuo chochote kile

Kuhusu St.Joseph wameanzisha foundation programme (bridging course) ya mwaka mmoja ambayo inabridge mapungufu ya mwombaji wa chuo.izingatiwe kuwa mwishoni mwa course hii kuna mtihani ambao ukifeli huruhusiwi kujiunga.

Na pale TCU si tunaona jaman kama hauna hivyo vigezo hauwezi hata kuwa accepted na system?
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

Prospectus yao inasemaje? je na minimum entry qualification kwa kozi kama hio UDSM ni zipi? naamini hawa St. Joseph wanatambulika na TCU
 
mleta uzi fanya uchunguzi kwanza,
As far as i know ni kwamba kama hauna principle mbili na subsidiary moja basi hauwezi kupata admission chuo chochote kile

kuhusu St.Joseph wameanzisha foundation programme (bridging course) ya mwaka mmoja ambayo inabridge mapungufu ya mwombaji wa chuo.izingatiwe kuwa mwishoni mwa course hii kuna mtihani ambao ukifeli huruhusiwi kujiunga.

Na pale TCU si tunaona jaman kama hauna hivyo vigezo hauwezi hata kuwa accepted na system?

Angalia tcu guide book, UDSM hawakuchukui Eng yoyote ukiwa Na F au S ya Physics au Chemistry na Ad math, Hata matokeo yawe mabovu itabak na vigezo vyake, Hawa SJU wanaangalia pesa tu, je wanaangalia wahandisi wanaotuletea mitahan huku?
 
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza Kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..

hakunaga kitu kama hicho, Unaujua mziki wa CoET wewe? Unaweza kumfananisha CIVIL ENG wa CoET Mwenye B au C ya Physics na CIVIL Eng Wa SJU mwenye S au F ya Physics au Chemistry?

Acha ushabiki wa kijinga, waajari wanalalamika sana juu ya PRODUCTS za hapo STJU
 
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..
We sio bure kuna kitu kichwan mwako, masogange Mungu ndie atakae mpa adhabu.
 
Mleta Uzi anaonekana anakijaruba flan kinamsumbua.naic alipambanishwa na vijana wa st Joseph ktk intervw wakamshinda.jaman mnyonge mnyongeni stj kinatoa wahitimu bora.pale vijana wanasoma kinadhatia na vitendo.

Kama huna uwezo pale utakimbia.coet wanakmbia watu kw kukomoana.unadsco na kusup kw mapenz ya ticha..
 
mleta Uzi anaonekana anakijaruba flan kinamsumbua.naic alipambanishwa na vijana wa st Joseph ktk intervw wakamshinda.jaman mnyonge mnyongeni stj kinatoa wahitimu bora.pale vijana wanasoma kinadhatia na vitendo.kama huna uwezo pale utakimbia.coet wanakmbia watu kw kukomoana.unadsco na kusup kw mapenz ya ticha..

Unauhakika au story za mitahani? Huwez kufananisha Wahitimu wa SJU na Wa UDSM, utakua unakosea, wengi wa SJU wana viwango vya chini na uwezo wao mdogo, ELECTRICAL ENG wa COET ni tofauti kabisa na wa SJU kiutendaji, COET wako compitent sana, ni vizuri ukafanya uchunguzi na si maneno ya mitahani
 
hakunaga kitu kama hicho, Unaujua mziki wa CoET wewe? Unaweza kumfananisha CIVIL ENG wa CoET Mwenye B au C ya Physics na CIVIL Eng Wa SJU mwenye S au F ya Physics au Chemistry? Acha ushabiki wa kijinga, waajari wanalalamika sana juu ya PRODUCTS za hapo STJU

Mbona DIT tena wamesoma physics ya o-level lakini wanawatoa nockout ugumu wa elimu sio sifa ya ubora ndicho kinachotuponza Watanzania mtu akisoma masomo magumu akafaulu basi anajiona kichwa balaaa.

Ukimuambia ahamishe alichonacho kichwani kwenye uhalisia anabaki kushangaa tu.well ST.Joseph hawawafikii COET ila wanawashinda kimoja their graduate a well conteted practically and very discpline.

Dunia nzima msingi wa mafanikio ni Discpline.ila nakuhakikishia some 5yrs to come wale wahindi watatisha.Niliskia makelele wamegundua gari la umeme Ud vipi jamani Coet mnatuangusha
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

bado sijaelewa point yako...
 
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..

kINAKIMBIZA KIVIPI? hebu nifafanulie vizuri mkuu
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

Sidhani kama uko sawa kwani ubora huangaliwa kwa product ya graduates, wengi wa Sjuit wako vizuri katika soko kwani katika kazi haiangaliwi uwezo wako wa kumeza au kufaulu bali kukibadilisha unachofundishwa katika uhalisia kwa vitendo kitu ambacho Sjuit kinapewa kipaumbele.

Kufaulu pekee hakukufanyi ndo uwe mzuri katika kazi bali kupractice unachofundishwa.
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
Maskini usicho kijua ni sawa na usiku wa giza.
kwa taarifa tu St. joseph ukija na matokeo kama hayo huchukuliwi Digrii unachukuliwa certificate ya mwaka mmoja wanakunowa,wakisha kunoa utafanya miyihani ya kufa mtu na wale ndio mabingwa wa mitihani kila mara ukifaulu kwa alama za kiwango kizuri ndio unasjiliwa digrii

kama hutaki kusoma mwaka mmoja unasajiliwa diploma miaka 3,na baadae digrii miaka 3.kama utaki unaondoka zako.usipotoshe watu bwana,kuhusu ufundishaji kama utaweza kaa karibu na wanafunzi wa pale hata kwa mwezi ndio utajua
 
Back
Top Bottom