St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

St. Joseph University inaharibu ubora wa kozi

Maskini usicho kijua ni sawa na usiku wa giza.
kwa taarifa tu St. joseph ukija na matokeo kama hayo huchukuliwi Digrii unachukuliwa certificate ya mwaka mmoja wanakunowa,wakisha kunoa utafanya miyihani ya kufa mtu na wale ndio mabingwa wa mitihani kila mara ukifaulu kwa alama za kiwango kizuri ndio unasjiliwa digrii

kama hutaki kusoma mwaka mmoja unasajiliwa diploma miaka 3,na baadae digrii miaka 3.kama utaki unaondoka zako.usipotoshe watu bwana,kuhusu ufundishaji kama utaweza kaa karibu na wanafunzi wa pale hata kwa mwezi ndio utajua
Vipi mchanganuo wa gharama zingine tofauti na tuition fee, ni zipi na ni kiasi gani? Namaanisha gharama zote kwa mwaka kwa bachelor ya engineering iwapo mtu anajilipia mwenyewe.
 
Vipi mchanganuo wa gharama zingine tofauti na tuition fee, ni zipi na ni kiasi gani? Namaanisha gharama zote kwa mwaka kwa bachelor ya engineering iwapo mtu anajilipia mwenyewe.

sijajiandaa kujibu hilo mkuu,ili nikujibu kitu cha uhakiki nipe muda kidogo huwa nawatwangia simu kabisa
 
Vipi mchanganuo wa gharama zingine tofauti na tuition fee, ni zipi na ni kiasi gani? Namaanisha gharama zote kwa mwaka kwa bachelor ya engineering iwapo mtu anajilipia mwenyewe.

Kwa first year inafika 3.3M
 
Unajua sielewi suala LA gharama linakujaje hapa na kuharibu facurty. tunajua kabisa kuna masomo ya science ni gharama sana kuanzia sekondari.

Sasa kwa kesi ya chuo lazima yawe gharama zaidi hasa kwa vyuo. binafsi amvavyo havipewi luzuku serikalini.stju wanatoa opportunity kwa mtu na watu wenye ndoto za kusoma engineering hata kama umefeli au huna vigezo.na wanasomesha bridge course wakapata vigezo.

Wanafanya vizuri saana..na ktk solo LA ajira wanauzika sana wahitimu wao.
 
unakuta mtu ana f e e ,ktk pcm anaenda kusomea civil au electrical eng. ,hebu waige mfano udsm mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale coet lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, chemical and processing eng ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa physics, pia ktk hata fani nyingine .
kwani mkuu kwa mujibu wa tcu na nacte mtu anaekuwa amefuzu kusoma chuo kikuuanatakiwa kuwa na vigezo gani? ukijua hilo basi ndo uje anzisha maada mpya kuliko kuandika kitu ambacho sizani kama kunatatizo...kwani wewe ulitaka wachukue wenye ddd wakati wengi wa sayansi wanapata ,cce,fdd,eed,?
 
unauhakika au story za mitahani? Huwez kufananisha Wahitimu wa SJU na Wa UDSM, utakua unakosea, wengi wa SJU wana viwango vya chini na uwezo wao mdogo, ELECTRICAL ENG wa COET ni tofauti kabisa na wa SJU kiutendaji, COET wako compitent sana, ni vizuri ukafanya uchunguzi na si maneno ya mitahani

Uchunguzi wako umeufanyia wapi!?? We uko level gani na umesoma chuo gani?
 
Kwa first year inafika 3.3M
Mkuu ina maana kwa 1st year inafika 3.3M ikiwemo na tuition fee au ikiwa excluded? Je kwa miaka inayoufuatia ina kuwa na wastani wa sh ngapi kwa mwaka?
 
kwani mkuu kwa mujibu wa tcu na nacte mtu anaekuwa amefuzu kusoma chuo kikuuanatakiwa kuwa na vigezo gani?ukijua hilo basi ndo uje anzisha maada mpya kuliko kuandika kitu ambacho sizani kama kunatatizo...kwani wewe ulitaka wachukue wenye ddd wakati wengi wa sayansi wanapata ,cce,fdd,eed,?
FEE ktk Pcm , Unampeleka bsc in CIVIL ENG,ni SJU ndio wanafanya uchafu huu, Kwan faculty nyingine hakuna?

Ni kuharibu ubora wa kozi, ndio maana mim huwa nakikubali MUHAS ktk udahil wake, huna cut off point 7, Utaisikia au utafika ukiwa mgonjwa, pia UDSM hata ukikuta Div 3 bas haina F au S, na inategemea na matokeo, mf.

Mwaka 2013 E ya Physics ilikuwa LULU, mim mwenyewe nina dv 3 lakin si ya ukilaza kama za SJU ,dde
 
FEE ktk Pcm , Unampeleka bsc in CIVIL ENG,ni SJU ndio wanafanya uchafu huu, Kwan faculty nyingine hakuna? Ni kuharibu ubora wa kozi, ndio maana mim huwa nakikubali MUHAS ktk udahil wake, huna cut off point 7, Utaisikia au utafika ukiwa mgonjwa, pia UDSM hata ukikuta Div 3 bas haina F au S, na inategemea na matokeo, mf. Mwaka 2013 E ya Physics ilikuwa LULU, mim mwenyewe nina dv 3 lakin si ya ukilaza kama za SJU ,dde

Na cha ajabu ambao hawakufaulu sana shule ndio wamekuwa best innovative kuliko ambao walifaulu mazingira tunayosomea shule za awali yanaweza kutufanya tuonekane vilaza ilihali sio go and see output ya st Joseph pima na hao wanaochukua point za 3 iliza kwa wazoefu daktari wa mwanafunzi wa bugando na muhimbili utapata jibu.

Kukaa kwa mwalimu haimaanishi una akili.kuwa muhimbili sio kigezo kaka elimu bora haipimwi kwa ugumu wake ila ni kwa vipi imesaidia kutatua changamoto na kuleta maendeleo
 
unakuta mtu ana (F E E) ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
iii.17,
Ndio niliyoyasema haya EEF,
 
mbona watu wengi wapo UDSM wana 3 tena uko uko CoET acheni hzo no research no right to speak
 
Haya ndio tunaita mawazo mgando, kule ST.Jose watu wanafundishwa kinadharia na vitendo,kule kuna mitihani ya practical baba.

Sasa kama ulikua unadhani kusoma CoET Udsm ni sifa,endelea kukipa promo udsm ila najua unajua watoto wa st.jose kwenye soko la ajira wanawafanya nini.
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

Hapa wa kulaumiwa sio TCU?


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
Too illogical for me to argue, nakushauri nenda kaangalie vigezo vya kidunia mtu kusoma degree, imeandikwa ni two principal pass and a minimum of 2.5 points kwa kozi za kiinjinia na kozi zingine zinaanzia point 3 ama 3.5 kutegemeana, na hata udsm kama sikosei minimum points ni 2.5 with two principal pass lakini CUT OFF POINT ZA UDSM ZIPO KWENYE IDADI YA WANAFUNZI. na wanachukua wanafunzi wachache sana kwa uwezo wa chuo kuwahandle ndio maana wengi wanakosa baada ya idadi kutimia na si kukosa sifa.

NENDA KACHUNGULIE CUT OFF POINT ZA UDSM, wanakwandikia IDADI YA WANAWAKE NA IDADI YA WANAUME KUWA NDIO CUT OFF POINT na sheria yoyote ya kudahili wanafunzi LAZIMA UANZE NA MWENYE MATOKEO MAZURI KULIKO WOTE KWA KUSHUKA CHINI. IDADI IKIJAA WANAISHIA HAPO.

kaangalie ubora wa matokeo kwenye masomo ya sayansi kidunia utaona kwa kiasi kikubwa kuwa sayansi si masomo ya mchezo ndio maana wakashusha kidogo point za kudahili.

alafu hizo E E F ni two principal pia zenye point mbili na ukijumlisha na point 0.5 ya GS kama anayo inakuwa 2.5. kwa sababu inasema with a total of 2.5 points. hii ndio minimum qualification na hata ukienda TCU ama NACTE wataishia kukushangaa wewe badala ya kukishangaa chuo.

go to aridhi university is the same. na kama sikosein ST.JOSEPH NI CHUO PEKEE CHA UINJINIA CHA PRIVATE hapa nchini.

pia usiwalaumu ST JOSEPH KWA HAYO MATOKEO.

WAKULAUMIWA NI SERIKALI NA MISHULE YAO ILIYO TAABANI.
hao ni wafanyabiashara na walikuja kwa ajili hiyo na waliwekeza mamilioni yao ya pesa. matokeo mabovu si yao ni ya form six ambayo yanatokana na shule za serikali. kwa hiyo wao inabidi wachukue mpaka mwenye minimum qualification kama nafasi zao hazijajaa na wako kisheria kabisa wala hakuna wa kuwahoji.

kazi yao inakuwa kuwafundisha na kuwanoa mpaka wawe bora kwa matokeo yao hivyo hivyo yalivyo na kazi ya mwalimu yeyote ni kumfanya mtu asiye elewa aelewe. kama wana uwezo wa kui-impart knoledge kwa wanafunzi hawa ubaya uko wapi? labda kama wahitimu wao wangeonekana hawajui kitu hapo sawa. lakini ni ajabu kuwa wako vizuri kama wanafunzi wengine.

kama unataka kuatatua tatizo la matokeo ya kidato cha sita solution ipo Advance kwenye shule za serikali na inabidi ushuke chini mpaka O level kwenye shule za serikali ili shule hizi zeweze kutoa wanafunzi walioiva toka chini ili wengi wao wapate hayo matokeo ya DDD ama CCC ama BBB wengi kama unavyotaka na hao ST joseph hawatachukua hawa maana kwanza hawatakuwepo ama watakuwa wachache sana

vinginevyo unatwanga maji kwenye kinu
 
Ndio maana hata hao walimu wa udsm utakuta ana masters au phd ya engineering lakin hajawahi ata kufanya kaz ktk prfesional yake na anakwambia anauzoefu wa kufundisha, elimu ya chuo kikuu na kuweza kutumia maarifa na ujuzi katika kuzalisha na sio kupata A ya physics tubadilike st joseph iwe mfano wa kuigwa,tunafanya interview na hao udsm graduates wanashindwa vtu vdogo mpaka unawaonea huruma
 
Back
Top Bottom