unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
Too illogical for me to argue, nakushauri nenda kaangalie vigezo vya kidunia mtu kusoma degree, imeandikwa ni two principal pass and a minimum of 2.5 points kwa kozi za kiinjinia na kozi zingine zinaanzia point 3 ama 3.5 kutegemeana, na hata udsm kama sikosei minimum points ni 2.5 with two principal pass lakini CUT OFF POINT ZA UDSM ZIPO KWENYE IDADI YA WANAFUNZI. na wanachukua wanafunzi wachache sana kwa uwezo wa chuo kuwahandle ndio maana wengi wanakosa baada ya idadi kutimia na si kukosa sifa.
NENDA KACHUNGULIE CUT OFF POINT ZA UDSM, wanakwandikia IDADI YA WANAWAKE NA IDADI YA WANAUME KUWA NDIO CUT OFF POINT na sheria yoyote ya kudahili wanafunzi LAZIMA UANZE NA MWENYE MATOKEO MAZURI KULIKO WOTE KWA KUSHUKA CHINI. IDADI IKIJAA WANAISHIA HAPO.
kaangalie ubora wa matokeo kwenye masomo ya sayansi kidunia utaona kwa kiasi kikubwa kuwa sayansi si masomo ya mchezo ndio maana wakashusha kidogo point za kudahili.
alafu hizo E E F ni two principal pia zenye point mbili na ukijumlisha na point 0.5 ya GS kama anayo inakuwa 2.5. kwa sababu inasema with a total of 2.5 points. hii ndio minimum qualification na hata ukienda TCU ama NACTE wataishia kukushangaa wewe badala ya kukishangaa chuo.
go to aridhi university is the same. na kama sikosein ST.JOSEPH NI CHUO PEKEE CHA UINJINIA CHA PRIVATE hapa nchini.
pia usiwalaumu ST JOSEPH KWA HAYO MATOKEO.
WAKULAUMIWA NI SERIKALI NA MISHULE YAO ILIYO TAABANI.
hao ni wafanyabiashara na walikuja kwa ajili hiyo na waliwekeza mamilioni yao ya pesa. matokeo mabovu si yao ni ya form six ambayo yanatokana na shule za serikali. kwa hiyo wao inabidi wachukue mpaka mwenye minimum qualification kama nafasi zao hazijajaa na wako kisheria kabisa wala hakuna wa kuwahoji.
kazi yao inakuwa kuwafundisha na kuwanoa mpaka wawe bora kwa matokeo yao hivyo hivyo yalivyo na kazi ya mwalimu yeyote ni kumfanya mtu asiye elewa aelewe. kama wana uwezo wa kui-impart knoledge kwa wanafunzi hawa ubaya uko wapi? labda kama wahitimu wao wangeonekana hawajui kitu hapo sawa. lakini ni ajabu kuwa wako vizuri kama wanafunzi wengine.
kama unataka kuatatua tatizo la matokeo ya kidato cha sita solution ipo Advance kwenye shule za serikali na inabidi ushuke chini mpaka O level kwenye shule za serikali ili shule hizi zeweze kutoa wanafunzi walioiva toka chini ili wengi wao wapate hayo matokeo ya DDD ama CCC ama BBB wengi kama unavyotaka na hao ST joseph hawatachukua hawa maana kwanza hawatakuwepo ama watakuwa wachache sana
vinginevyo unatwanga maji kwenye kinu