wataalam ni wachache sana ndiyo maana inatokea hivyounakuta mtu ana f e e ,ktk pcm anaenda kusomea civil au electrical eng. ,hebu waige mfano udsm mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale coet lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, chemical and processing eng ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa physics, pia ktk hata fani nyingine .
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .

mleta uzi fanya uchunguzi kwanza,
As far as i know ni kwamba kama hauna principle mbili na subsidiary moja basi hauwezi kupata admission chuo chochote kile
kuhusu St.Joseph wameanzisha foundation programme (bridging course) ya mwaka mmoja ambayo inabridge mapungufu ya mwombaji wa chuo.izingatiwe kuwa mwishoni mwa course hii kuna mtihani ambao ukifeli huruhusiwi kujiunga.
Na pale TCU si tunaona jaman kama hauna hivyo vigezo hauwezi hata kuwa accepted na system?
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza Kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..
We sio bure kuna kitu kichwan mwako, masogange Mungu ndie atakae mpa adhabu.CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..
mleta Uzi anaonekana anakijaruba flan kinamsumbua.naic alipambanishwa na vijana wa st Joseph ktk intervw wakamshinda.jaman mnyonge mnyongeni stj kinatoa wahitimu bora.pale vijana wanasoma kinadhatia na vitendo.kama huna uwezo pale utakimbia.coet wanakmbia watu kw kukomoana.unadsco na kusup kw mapenz ya ticha..
hakunaga kitu kama hicho, Unaujua mziki wa CoET wewe? Unaweza kumfananisha CIVIL ENG wa CoET Mwenye B au C ya Physics na CIVIL Eng Wa SJU mwenye S au F ya Physics au Chemistry? Acha ushabiki wa kijinga, waajari wanalalamika sana juu ya PRODUCTS za hapo STJU
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
CoET wasipo kuwa makini St. Joseph itakuwa mwiba makili kwao...Wale Wahindi wapo smart sana....Chuo ndo kwanza kimeanza juzi juzi lakini kinakimbiza ile mbaya..
unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .
Maskini usicho kijua ni sawa na usiku wa giza.unakuta mtu ana F E E ,ktk PCM anaenda kusomea CIVIL au ELECTRICAL ENG. ,hebu waige mfano UDSM mwaka huu walihitaji wanafunz wengi tu pale CoET lakin kwakua wanafunzi wengi hawakukizi vigezo hawakuforce ilimradi tu, CHEMICAL AND PROCESSING ENG ilihitaji wanafunzi 60, lakin wamechukua wanafunzi 37, kwan wengi hawakufaulu hasa PHYSICS, pia ktk hata fani nyingine .