kaachonjo
JF-Expert Member
- Oct 27, 2012
- 203
- 68
huu ni mfano wa namna baadhi ya wawekezaji hawa kutoka asia wanavyojaribu kuwateka wenzao kutoka ng'ambo na kisha kuwageuza watumwa katika ardhi yetu ya tanzania. huyu ni dean fo student ambaye anasimulia namna chuo kinavyotangaza faculty kiutapeli, kisha wanafunzi wanapolalamika ....
THE SECRET CONCERNING ST JOSEPH UNIVERSITY SONGEA CAMPUS by NICOLAS YouTube - YouTube
walimu wanapigwa kama wanyama ! wanatishiwa kuuwawa na mbali na kuwa uongozi unawanyang'anya hati zao za kusafiria pamoja na vyeti vyao vyote vya masomo.lazima vyombo vyetuvijifunze kufuatilia mambo haya, LHRC, tume ya haki za binadamu, tukta na wengine. tuwasaidieni hawa kuapata haki zao stahiki. wanafunzi wa chuo hiki wamekwisha dhurumiwa kisha uongozi unatishia kumuuwa mwalimu wao kama alivyoeleza mwenyewe.