St. Joseph University wanatoa wapi updates zao?

St. Joseph University wanatoa wapi updates zao?

Kaka r u sure? Mbona mimi naonaaa au umezoea lazima wakuandikie new" na alama nyekunduuu jaribu kutaFuta vizuri pia watu wote wamejulishwa kwa cm labda namba kma ulidanganya wakati wa usajili


yes i'm sure, coz nikifungua wanapo weka matangazo site haiload inasema "Not Found" afu yaan sijapigiwa sim mpaka saa hii
 
kama uko confirmed cha kufanya nenda chuoni ukapate maelezo mengine na kufanya admission.
 
Bro cheki kwenye email yako pia nunua magazeti ya mwananchi communication utapata taarifa...

pia nitafute mm ni kaka yako nitakupokea hawa wenzetu ni wahindi hawana akili timamu...pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom