magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
sijapanic ila naona unataka tuendelee kutawala humu JF,na kama una wasiwasi na mimi basi baki hivyo,natoa onyo la mwisho kuwa kama utaendelea kujibu comments zangu basi nitakuwa bwana wako,na kama ukinyamaza kimya basi utakuwa umeniogopa,I love UDSM ever
Maneno kama hayo nimezoea kuyasikia kwa watoto wa primary sio kwa mtu wa chuo tena UDSM hata!
Kwani mkuu ukisema mi nipo pale St john au T.I.A utakua umepungukiwa nini? Ningeomba mnaosoma UDSM mje mthibitishe kama huyu ni mwenzenu maana anakishusha hadhi chuo chenu!