St.joseph wahindi wapigana wao kwa wao


Maneno kama hayo nimezoea kuyasikia kwa watoto wa primary sio kwa mtu wa chuo tena UDSM hata!
Kwani mkuu ukisema mi nipo pale St john au T.I.A utakua umepungukiwa nini? Ningeomba mnaosoma UDSM mje mthibitishe kama huyu ni mwenzenu maana anakishusha hadhi chuo chenu!
 
St Joseph ni wezi sana kinatumia mgongo wa dini ya katoriki kuhujumu watanzania....they have to go back to India
 
najua baada ya kunijibu utakuwa katika category ipi ambazo nimeshazitoa
 
najua baada ya kunijibu utakuwa katika category ipi ambazo nimeshazitoa

Hahah mkuu we mtu mzima saizi inabidi ujitofautishe na watoto! Sa mikwara gani hiyo? Teh teh teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…