st joseph watoa selection kwa matawi yake yote- tembelea website yao sasa

Ka leo mizigo miwili imeshushwa hope kesho itashushwa hata ya vyuo vya wanaobishania vyuo.
 
duh yanasomeka kwa tabu sana jinsi walivyopangilia.

jamani tusaidiane kwenye hili;nime-download ile pdf lakini imefunguka hadi ukurasa wa 374 na jina langu bado sijaliona,msaaada tafadhali


with regards
 
Hivi vyuo vinavyojidai kuwa ni bora, Mpaka watu wanabishana kwenye mitandao, mbona sioni mzigo? Yaani mpaka vinazidiwa na st J?

Ni sawa na mwanamke mzuri kuringa tuuu...usishangae sana
 
Jamani vp hawa magovinda, wako freshi katika lectures za Agriculture engineering, coz SUA kuna misumeno vibaya, Lazima uamke kabla hujaamshwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…