yatupie maana kwangu yanaishia page 378
hata mie naishia page hiyo hiyo sijui kunani tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yatupie maana kwangu yanaishia page 378
Ka leo mizigo miwili imeshushwa hope kesho itashushwa hata ya vyuo vya wanaobishania vyuo.
wanapokea wanafunzi lini?
duh yanasomeka kwa tabu sana jinsi walivyopangilia.
ngoja niya2pie kwny jf au
kesho ya udsm na udom
Yatupie Afande!!!
Ardhiiiii, suaaaaa, wap nyinyiiiiii
Hivi vyuo vinavyojidai kuwa ni bora, Mpaka watu wanabishana kwenye mitandao, mbona sioni mzigo? Yaani mpaka vinazidiwa na st J?