St.Joseph yawasimamisha wanafunzi mwaka wa pili BSE

mikiray

Member
Joined
Sep 29, 2013
Posts
50
Reaction score
4
Takiribani wiki mbili sasa wanafunzi wa bse mwaka wa pili st.Joseph dar wamesimamishwa masomo kisa kudai meal and accomodation iliyocheleweshwa mwezi mzima na kuwafanya wanafunzi kuishi maisha magumu sana,
NACTE okoa maisha ya wanafunzi hawa.
 
board inaonyesha wanashirikiana na Hawa wahindi
 
Polen sana madogo komaeni ila mkumbuke pia kuwa chonza cha haya ni nyie kuendelea kuwakumbatia hawa wana wa Escrow..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…