Takiribani wiki mbili sasa wanafunzi wa bse mwaka wa pili st.Joseph dar wamesimamishwa masomo kisa kudai meal and accomodation iliyocheleweshwa mwezi mzima na kuwafanya wanafunzi kuishi maisha magumu sana,
NACTE okoa maisha ya wanafunzi hawa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.