St.Kayumba ilikuwa raha sana enzi zile.Tena ukiwa wa asubuhi mkifika mlangoni unawaona wa mchana unawazomea
NAKUMBUKA KUNA SIKU TULIFANYA SANA FUJO DARASANI AKAINGIA MWLM WA KINGEREZA KUFUNDISHA ACHA KABISA AISEE,VITABU ALIWEKA PEMBENI ALICHUMA MIFIMBO KIBAO,
ALITEMBEZA BAKORA DARASA ZIMA ALIVOMALIZA AKASEMA"fimbo inaisha kidogo kidogo kama mswaki inaumia mitako tu"
KUNA SIKU TUPO DARASANI KWENYE PINDI LA NAMBA MWLM ALIULIZA KANUNI YA KUSOLVE UMBO LA PEMBE TATU AMBAYO NI NUSU MARA KITAKO MARA KIMO KUNA JAMAA YANGU MZAA MWINGI AKANYOSHA KIDOLE MWLM AKASEMA TUAMBIE KANUNI YAKE JAMAA ALIJIBU "nusu mara kijungu mara kimo", kilichotokea hapo nadhani kila mtu anajua
Those days..............
Hata ukiambiwa nenda kaoge unaenda kupiga passport ukitoka unakutana na mzee anakuuliza umeoga kweli wewe .. unajibu nimeoga ... anachekaa tu maana kama kichwa kilikuwa na vumbi bado kimejaa vumbi miguu kigimbi kimepauka cheupe na unaenda kujikandika mimafuta ya mgando unang'aa
Darasa la Saba, kuna mwanafunzi alichelewa kuingia class, kamkuta mwalimu wa English ametuna, akampigisha magoti, wakati anaendelea kufundisha akamuuliza maana ya "common" , akamjibu common pombe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. . Won't ever forget that
Tookn't you????[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Tukunti yuuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36]Nakumbuka enzi za darasa la sita, mpaka darasa la saba; kitu cha "tag question" ilikuwa balaa tupu.
"You took my pen"
"________________"
(Malizia mwenyewe)
Msondo ngoma ilikuwa na raha yake asee.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
So sad...Maana mpaka leo haya maisha bado yapo na tunataka kuwa kama Ulaya.[emoji22]that time tulikuwa kama hivi daaa tumetoka mbali
Mh!Kwa kweli nikikumbuka kababu,karimati,ubuyu na mihogo ya kukaanga.Mara mwalimu naye anauza ubuyu na karanga darasani kabla hajaanza kufundisha.Majina ya wapiga kelele yanaandikwa na atakayeandikwa mara mbili anawekewa alama ya X[emoji124] [emoji124] [emoji124].St kayumba raha san kweli nimeamin wakati haurudi nyuma lait ningeambiwa kitu gani ungependa kijirudie maishan mwangu hakika ningejibu nirudie shule ya msingi ilikuwa rah san
Kuna kipindi ilibamba mifuko ya sport yenye kamba ambayo leo hii inaitwa mifuko ya Bob.Unaagizwa kuleta kuni,kokoto,Fagio,fimbo tano,jembe,fuko la rambo la madaftari daah na namba unatakiwa kuwahi.
Hahahahahahahhahaaaa.Tukunti yuuu?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36]
Nakumbuka kuna jamaa angu o-level alikua kajaradia jeans ndani halafu jeans yenyew ilkua inamtera(pana) ikabd mkanda afungie jeans ya ndan alafu surual ya shule ya juu ikawa haina mkanda,, mwalimu alipokuw akimchap akamuuliz "mbna hujavaa mkanda" jamaa kwa kuchanganykiw na fimbo akamjibu 'mwalimu nimeufungia jeans kwa ndani'……!!!Kuna watu walikuwa wanasifika k2a kusikilizia bakora.Anaweza akapigwa hata kumi halafu anainuka kama alivyoinama bila kusahau wazee wa dabo almaarufu kama kujaradia.Pigwa bakora hata mia lakini wapi...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka kuna jamaa angu o-level alikua kajaradia jeans ndani halafu jeans yenyew ilkua inamtera(pana) ikabd mkanda afungie jeans ya ndan alafu surual ya shule ya juu ikawa haina mkanda,, mwalimu alipokuw akimchap akamuuliz "mbna hujavaa mkanda" jamaa kwa kuchanganykiw na fimbo akamjibu 'mwalimu nimeufungia jeans kwa ndani'……!!!
Tulikuwa na mkali mmoja huyo he baunsa wa kumalizia, alikuwa anaijua 10×10 tu. Zingine sasa 14×2 ishirini na nane mtasikia tu ile neeeee kwa nguvu zake zoootee[emoji23] [emoji23] [emoji23]da mimi nakumbuka darasa la 2 na la 3... tulikuwa tunaimba table ya kwanza hadi ya 12...
Darasa la NNE hilo hilo na Mimi darasani kwetu hali ilikuwa hivo hivyo,mwl alikuwa kabibi kamoja hivi kanavaa miwani. Alikuwa nuksi sana,sharti umpakie mafuta mengi mashavuni Ndio pona yakokule kwenye shule zetu za kajamba nani kuna ml wa kiingereza alkiwaga akiingia kipindi hicho tupo darasa la nne ..darasa linabadilika linakua kama hospitali ya watoto kwenye chumba cha sindano ..Mama yule alikuwa anafinya hakuna mfano .. yan vilikuwa ni viliona majonzi kwenye kipindi cha english mtu unamlaani baba kwanini alikupeleka shule
hahahahaha mkuu wapi kama tulisoma sijui ..yani yeye ni kwenye mashavu tuu anafinya kichiz yanDarasa la NNE hilo hilo na Mimi darasani kwetu hali ilikuwa hivo hivyo,mwl alikuwa kabibi kamoja hivi kanavaa miwani. Alikuwa nuksi sana,sharti umpakie mafuta mengi mashavuni Ndio pona yako
Nina wasiwasi. Umesoma kayumba ipi.? Ipo Karibu na uwanja wa mpira?hahahahaha mkuu wapi kama tulisoma sijui ..yani yeye ni kwenye mashavu tuu anafinya kichiz yan