Inakuwaje wanaJF!
Nchi ndogo carrebean za St Kitts and Nevis pamoja na St Lucia zinatoa uraia kwa raia wa kigeni pamoja na familia zao za watu wanne kama ukiwekeza dola za kimarekani laki moja. Process haichukui muda mrefu.
Hizi nchi visiwa zinapatikana carrebean na ambazo raia wake hawazidi elfu hamsin.
Passport za Hizi nchi ni moja zenye nguvu duniani ambao unaingia nchi zote za ulaya na Marekani bila visa ama visa in arrival.
St Kitts and Nevis passport yake Unaweza kusafir nchi 160 bila visa. Na St. Lucia unasafir nchi 147 bila visa.
Program hii ya kutoa uraia it aisha January 2021 na imewafanya idadi ya Wanigeria wenye uwezo kuichangamkia kwasababu ni fursa kwao Kwani Passport ya Nigeria ni dhaifu na kila mwaka inakuwa dhaifu.
Wakaazi wa St Kitts and Nevis na St. Lucia ni wa Afrika weusi.