Hiki chuo kipo Buguruni Malapa, kinaongozwa na acting Director,Dr.Diana Katunzi. Kwa muda mrefu sasa kimekua na matatizo mbalimbali ambayo yanayowakabili wanafunzi na wafanyakazi wake kwa ujumla.
Hiki chuo kimeanza kutoa bachelor( Bba,Education na theology) mwaka 2012, kinaendeshwa na watu wasio na sifa kabisa.Uongozi uliopo chuoni hapo ni wakupeana,hali inayoipelekea chuo hicho kupoteza sifa yake. ukisoma prospectus ya chuo hicho ndo utaelewa ni nini namaanisha,Chuo hicho hakina Director kwa muda mrefu, Acting Deputy Director (Planning and Finance): Kandaga John Muhangwa, elimu yake haitambuliki,ofisi ya uhasibu wanakaa watu walioitimu bachelor ya education.Tutorial lecturers ndo senior lecturers.Naomba Tcu wakifatilie hichi chuo,ikiwezekana wakifunge.
Nawakilisha