ST MARK'S TEACHING CENTRE -(Dar es salaam) Kichunguzwe na TCU...

ST MARK'S TEACHING CENTRE -(Dar es salaam) Kichunguzwe na TCU...

St marks mbona kimeshatoa graduate wake wa kwanza mwaka jana 2012
 
Duh..nina mdogo wangu anasoma pale, yeye alichagua st John dodoma akaletwa tawi lao hilo
 
hahaha...Malapa upande ule wa lake oil ya Riziwani....kutoa graduate kwani tatizo??Shule ngapi za kata zinatoa candidates......
kwa hali hiyo,naamini!!
" To get Degree now-days is even faster than getting pregnancy"😛layball:
 
" To get Degree now-days is even faster than getting pregnancy"😛layball:
 
Wajanja wanajua jinsi ya kuipata hela za HESLB kiulaini. Uozo wa Elimu nchini Tanzania unaanzia Chekechea mpaka Elimu ya Juu. TCU nayo imeelemewa na mzigo mdogo.
 
Hiki chuo kipo Buguruni Malapa, kinaongozwa na acting Director,Dr.Diana Katunzi. Kwa muda mrefu sasa kimekua na matatizo mbalimbali ambayo yanayowakabili wanafunzi na wafanyakazi wake kwa ujumla.
Hiki chuo kimeanza kutoa bachelor( Bba,Education na theology) mwaka 2012, kinaendeshwa na watu wasio na sifa kabisa.Uongozi uliopo chuoni hapo ni wakupeana,hali inayoipelekea chuo hicho kupoteza sifa yake. ukisoma prospectus ya chuo hicho ndo utaelewa ni nini namaanisha,Chuo hicho hakina Director kwa muda mrefu, Acting Deputy Director (Planning and Finance): Kandaga John Muhangwa, elimu yake haitambuliki,ofisi ya uhasibu wanakaa watu walioitimu bachelor ya education.Tutorial lecturers ndo senior lecturers.Naomba Tcu wakifatilie hichi chuo,ikiwezekana wakifunge.
Nawakilisha

Mkuu tushakoment vyakutosha kuhusu ubabaishaji wa st john's dodoma na branches zake ukianzia elimu za "malecturer", wazungu malectururer ambao ukiangalia cv zao ni walimu wa chekechea US na Australia, wengine ni wazee ambao wameona waje wamalizie uzee wao kwa kutulisha elimu ambayo huko kwao haikua fani yao!!! na uongozi kwa ujumla unaozingatia "ugogo","uanglican", kuwa na udugu na any member of sjut's body of trustees ambao kiujumla wanakutana kupewa chao na kusepa! Shame upon you prof Pala..ma....ga..mba Kabu....diiii, balozi jobuu lusind...ee etal kwa kusimamia na kukumbatiia uozo huu! "malecturer" uchwara ie. msa...waaa, mzee watigoo (kipaa...ngaaaaaa) aka mtoa marks kwa tiigoooo, msanii jam..es, ma HOD na ma FACULTY DEANS fake, mzee wa botswana fake etal SJUT oyeeee......!
 
Back
Top Bottom