Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ipo chini ya masista wa kanisa katoliki binti yako atakuzwa katika malezi mazuri sana! unaweza pia kujaribu KIRAENI GIRLS NA KIBOSHO GIRLS PIA!School Logo. St.Mary Goretti. ADDRESS: P.O.BOX 7360,MOSHI,
PIGA NO. 027 2754008.UTAONGEA NA MKUU WA SHULE MOJA KWA MOJA NA UTAPATA MAELEZO YOTE UTAKAYO.
Ni shule nzuri kwa .taaluma,nidhamu, na kila aina nzuri ya malezi.
ipo chini ya masista wa kanisa katoliki binti yako atakuzwa katika malezi mazuri sana! unaweza pia kujaribu KIRAENI GIRLS NA KIBOSHO GIRLS PIA!
Moja ya shule bora kabisaa Tanzania..
Aaaaah wapi hamna lolote ,shule bora ni za vipaji tu
Aaaaah wapi hamna lolote ,shule bora ni za vipaji tu
Huyu naona alikuwa anauizia kwa mwaka jana ila pia hakurudi kutupa update. Ni shule nzuri na kwa Olevel imeshaanza kurudi top ten taratibu maana kwa 2011 na 2012 ilishuka hadi 30s sista alikuwa shule nafikiri admn ikashuka kidogo.Tayari uchaguzi wa Form Five kisha fanyika. Jaribu kama wote hawataripoti shuleni. Ndugu yako awe ameshinda Div.1 siyo chini ya pointi 14 vinginevyo hatachukuliwa. Shule ina ushindani mkubwa sana.
Aaaaah wapi hamna lolote ,shule bora ni za vipaji tu
Aaaaah wapi hamna lolote ,shule bora ni za vipaji tu
Huyu naona alikuwa anauizia kwa mwaka jana ila pia hakurudi kutupa update. Ni shule nzuri na kwa Olevel imeshaanza kurudi top ten taratibu maana kwa 2011 na 2012 ilishuka hadi 30s sista alikuwa shule nafikiri admn ikashuka kidogo.