St. Mary Goreti Sec School

St. Mary Goreti Sec School

Hivi sister Njau bado ndio head

Yeah bado ingawa soon wamesema atabadilishwa students wamekuwa dissapointed sana hawataki aondoke yule sista anaiwezea sana ile shule na kajitahd sana kuipa sifa nzuri.
 
Mwenye kujua ada zao p'se!. Ukitupia na ada za Mazinde juu nitashukuru!.
 
Shule za vipaji zimevamiwa na wasio na vipaji na ndio sababu ya kushuka kitaifa.
Abishaye ni yule tu ambaye hajawahi kusoma shule hizo na kujionea watu wachovu wakijiunga form one. A level wengi huwa wanajiweza ndio maana angalau ziko stable,nazungumzia za wavulana.
 
Shule za vipaji ndo zipi hizo....Mzumbe na kilakala?!

Wewe unaishi dunia ipi?
Unazijua 10 best schools za O level na A level kwa last year?

Kuna watu ni wabishi tu, kwa hii shule ilboru,kilakala,mzumbe zimeachwa mbali mno
 
Back
Top Bottom