St. Mary Goreti Sec School

Lughe

Senior Member
Joined
Oct 26, 2010
Posts
116
Reaction score
19
Habari wanakijiji,Naombeni msaada kujua utaratibu wa kujiunga na
S
econdari ya St.Mary Goreti ndugu yangu amemaliza form four anatafuta shule nzuri ya kuendelea A level.Akhasanteni nawasilisha.
 
School Logo. St.Mary Goretti. ADDRESS: P.O.BOX 7360,MOSHI,

PIGA NO. 027 2754008.UTAONGEA NA MKUU WA SHULE MOJA KWA MOJA NA UTAPATA MAELEZO YOTE UTAKAYO.

Ni shule nzuri kwa .taaluma,nidhamu, na kila aina nzuri ya malezi.
 
ipo chini ya masista wa kanisa katoliki binti yako atakuzwa katika malezi mazuri sana! unaweza pia kujaribu KIRAENI GIRLS NA KIBOSHO GIRLS PIA!
 
ipo chini ya masista wa kanisa katoliki binti yako atakuzwa katika malezi mazuri sana! unaweza pia kujaribu KIRAENI GIRLS NA KIBOSHO GIRLS PIA!

Kuna Anwarite Girls Secondary School Moshi pia ni ya masista ni nzuri sana kwa wale wenye kutaka O-level
 
Mwambie dogo wetu akaribie moshi,i'll be there if she needs any help(as a brother of coz)
 
Aaaaah wapi hamna lolote ,shule bora ni za vipaji tu

Shule za vipaji ndo zipi hizo....Mzumbe na kilakala?!

Wewe unaishi dunia ipi?
Unazijua 10 best schools za O level na A level kwa last year?
 
Ni wakike au wakiume?as for a-level nafasi kwa girls znakuaga nyingi kuliko boys,so the earlier the better hamna interviews kwa advance unajaza tu form nakusubiri selection!gudluck...it's a nice school
 
Tungekua na serikali makini kila shule ingekua bora
 
Tayari uchaguzi wa Form Five kisha fanyika. Jaribu kama wote hawataripoti shuleni. Ndugu yako awe ameshinda Div.1 siyo chini ya pointi 14 vinginevyo hatachukuliwa. Shule ina ushindani mkubwa sana.
 
Tayari uchaguzi wa Form Five kisha fanyika. Jaribu kama wote hawataripoti shuleni. Ndugu yako awe ameshinda Div.1 siyo chini ya pointi 14 vinginevyo hatachukuliwa. Shule ina ushindani mkubwa sana.
Huyu naona alikuwa anauizia kwa mwaka jana ila pia hakurudi kutupa update. Ni shule nzuri na kwa Olevel imeshaanza kurudi top ten taratibu maana kwa 2011 na 2012 ilishuka hadi 30s sista alikuwa shule nafikiri admn ikashuka kidogo.
 
Aaaaah wapi hamna lolote ,shule bora ni za vipaji tu

Mkuu kwanini unatumia multipal id? We si Mpigamsuli wewe???? Tutatumia id zote lakini personality yetu haiwez badilika na tutajulikana tu!!! Nasikika kuona hujaacha post zako!!
 
Last edited by a moderator:
Huyu naona alikuwa anauizia kwa mwaka jana ila pia hakurudi kutupa update. Ni shule nzuri na kwa Olevel imeshaanza kurudi top ten taratibu maana kwa 2011 na 2012 ilishuka hadi 30s sista alikuwa shule nafikiri admn ikashuka kidogo.

Kabisa mkuu...Kipindi kile nilishangaa sana kwann shule imeshuka kiasi kile...

Mwakajana walifanya maajabu....Walishika nafasi ya 11 ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…