Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama Nyerere kaua na Mohamed nae aliua,Tafadhali usiweke mlingano wowote kati ya Mtume Muhammad(S.A.W) na Dikteta, katili, mkandamizaji, muuwaji, dhalimu na mwenye roho mbaya na mbovu kama Julius Kambarage Nyerere.
Mw'mungu akusamehe hujuwi ulisemalo.Kama Nyerere kaua na Mohamed nae aliua,
Kama Nyerere alidhulumu nae Muhamad alidhurumu
Kama Nyerere alikuwa na Roho mbaya Muhamadi ni hivyohivyo
Kama Nyerere aliuliwa na Sumu Muhamadi ni hivyohivyo,
Kwa kifupi sifa zote alizokuwa nazo Muhamadi na Nyerere alikuwa nazo kwa mujibu wako na Kama Muhamadi ni Mbora kwa nini Nyerere asiwe
Mw'mungu akusamehe hujuwi ulisemalo.
Mazingira said:9. Kwanini mapadri wanaokamatwa kwa kufanya uchafu tena zaidi ya mara moja (e.g uzinzi, sodomy etc) hawafukuzwi utumishi bali huhamishwa kutoka sehemu moja kwenda nyingine?
1583 It is true that someone validly ordained can, for grave reasons, be discharged from the obligations and functions linked to ordination, or can be forbidden to exercise them; but he cannot become a layman again in the strict sense,75 because the character imprinted by ordination is for ever. The vocation and mission received on the day of his ordination mark him permanently.
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi! Unatakiwa kuchamb4 kwanza kabla ya kutawadha.Kwenda haja aende mwingine..kutawadha utawadhe wewe, inakujaje?
kwenye red! kaka Hivi kanisa wana askari professional wa kuthibitisha makosa ya jinai au ni mahakama ndiyo inatakiwa kutoa hukumu hiyo ya jinai (sodomy mfano mzuri umeenea sana kanisani hasa kenya afadahli TZ sijawahi kusikia) fafanua? kanisa linafanyaje uchunguzi wakati lenyewe linatuhumiwa?I'm back again..Padre 'anayekamatwa' nadhani unamaanisha 'kuthibitishwa' kuwa ametenda jambo X siku Y jambo ambalo ni haramu kwa mujibu wa sheria za Mungu kwanza, na sheria za nchi pengine.
Kutoka kwenye katekisimu ya Holy Catholic Church tunasoma yafuatayo:
Source
Hivyo basi kwa kuzingatia hiyo sehemu hapo juu, madai kumuhusu priest X kuhusu tuhuma Y kama hayajathibitishwa na vyombo husika vya kanisa, kanisa lina-reserve haki ya priest aliyetuhumiwa kuendelea na active ministry na his holy orders..
Nimekujibu.
kwenye red! kaka Hivi kanisa wana askari professional wa kuthibitisha makosa ya jinai au ni mahakama ndiyo inatakiwa kutoa hukumu hiyo ya jinai (sodomy mfano mzuri umeenea sana kanisani hasa kenya afadahli TZ sijawahi kusikia) fafanua? kanisa linafanyaje uchunguzi wakati lenyewe linatuhumiwa?
Yeah, you are right..ndio maana nilishalisema hili, kuwa wewe na mwenzako Waberoya , hampo hapa kukuza uelewa wenu bali kubisha na kujifanya ni bora kiimani kuliko wengine na hilo umelidhirisha na kupigia hoja mstari..
Unaposema huhitaji msaada wangu ina maana tayari unayo majibu upo hapa kufanya geresha na masihara, bahati nzuri nilishakubaini kitambo..Bahati mbaya kwako ndugu, maswali yako yote nitayajibu kama nilivyokuahidi..nimeshaanza baadhi yake..na na nitayamaliza at my own pleasure and time..Kazi yako itakuwa kuyabeba majibu yangu mujarabu kwenye mtima wako na kuishi nayo..maana sina msaada zaidi mazee.
Watch this space
May I ask the following questions:-
1. Does any member of JF know how many Wadanganyika were detained without trial by this Saint after he signed into law The Preventive Detention Act?
2. Does any member of JF know how many houses were set on fire by enthusiastic TANU stalwarts who were implementing the Saint's edict for Wadanganyika to move from their traditional homesteads to Ujamaa villages?
3. And can any JF member confirm that the saint was unaware of these acts by the enthusiasts which resulted in suffering and death on the part of many Wadanganyika?
4. I read recently an enquiry by a relative of Eli Anangisye who was one of the detainees of the saint, and I started thinking of others, like him, who survived that ordeal. I remember Wilfrem Mwakitwange, Elias Mshiu, Abdu Faraji, Edward Barongo, Chief David Kidaha Makwaiya and his brother Husein Makwaiya. Can JF members give more names, especially of those still alive, so that a get-together can be organized for survivors on the occasion of the cannonization?
You know my teacher told me, 40 people they can say 1+1=3, and only who says 1+1=2 s/he can loose. However how many people are to our knowledge and belief.Facts remains facts.
You have said facts; they too know that, wasiojua ukweli huwa sikuzote watabisha hata kutukana.Tunapoeleza ukweli hata ule wa ndani wengi hawataki kuusikiliza kwani bongo zao zimeshajaa yale wanayoyaamini!
Kanisa katoliki is against bible in many ways! we can discuss one by one still some people somewhere wont belive it.
The church that killed christian who were spreading the gospel is catholic, this history is undeniable! when are taliking about ant-christ they all goes to RC! idol worship etc!
Is good religion though, is good organisation, but bible is not their book! is not centre of their belief.
Haiingii akilini kung'ang'ania kusema tunaamini bible usiyoifuata, kila kitu kina maelezo yake!!!!
Deep down their is no difference between RC and Muslim, yo can see how they relate in many ways , simply their 'father' is the same.
I can testify in many ways that RC and Muslim are not God's. However I can testify in many churches they are not different from them as per God's standard
we need to deeply know the origin of this religions, utajikuta kila siku mtu wa kupanic na kukasirika watu wanapoanza kuanika ukweli!
ukiujua ukweli na ukaamua kuufuata is even better, lakini naona wengi hapa wameshiba na umbumbumbu wakuamini wasichokijua! kuna ukweli unaoweza kukufanya ukawachukia wazazi wako. Maana what is going on ni kuwa maadam nimezaliwa kwenye familia ya kikristo basi ni mkristo , ungezaliwa mwislam je?? kuna ujasiri gani wa kusemana pasi wote hamjui mnaabudu nini na kwa basis gani.Na hii imewafanya waafrka wengi kuwa wanafaiki wa kutofuata wanayoyaamini!
JK Nyerere, atakuwa tu mtakatifu kwa mujibu wa RC and this does not relate to God's ways of judgement.
His ways are not our ways Isaiah 55:6-11
Mkuu hapa lipo tatizo.
Nafikiri hapa tatizo kubwa ni kwa kanisa katoliki kukosa ufahamu mzuri wa Ki-MUNGU. Utakatifu wa mwanadamu unapimwa na MUNGU tu na wala si mwanadamu. Yaani mwanasiasa anakuwa Saint? Tangu lini? Ooooh my goodness. Wamempima kwa kipimo gani? Haya ya kuangalia kwa nje na michango yake ya kisiasa? Si basi angalau wangempa Nobel prize ya kikanisa kwa michango yake mizuri kwa jamii na si katika mambo ya kiroho maana aujuaye moyo wa mwanadamu ni MUNGU tu. Hivi wanayajua maisha halisi ya mwalimu yalivyokuwa? Wanajua alitumia ulinzi gani dhidi ya maadui wa kimwili na katika ulimwengu wa roho? Je na kama wanajua yalikuwa sawasawa na mapenzi ya MUNGU? Nafikiri kanisa katoliki wasiingilie kazi ya MUNGU. Unless they have their own god and not the true GOD.
Biblia sio premise ya kila kitu kinachofundishwa na kuaminiwa na kanisa Katoliki. Kwa hiyo using'ang'anize kuwa kila kitu lazima kiandikwe kwenye Biblia..Sawasawa?
Kipengele hapo juu kinaashiria kuwa mwongozo wa Kanisa Katoliki sio Biblia tu ila imechanganya na mengine. No wonder utasikia MTAKATIFU ........ TUOMBEE SISI WAKOSEFU ..... Wanadamu wote waliofariki wanasubiri hukumu ya mwisho - sasa wakuombee vipi??? INA MAANA NYERERE AKIFANYWA SAINT - KUTAKUWA NA SALA - MTAKATIFU NYERERE TUOMBEE.....???? HII NI MAKOSA NA UPOTOSHAJI WA IMANI YA KIKRISTO NA NENO LA MUNGU (BIBLIA
Hata hivyo ZABURI 16:3 inasema"WATAKATIFU WALIOKO DUNIA NDIO WALIO BORA; MOYO WANGU WAPENDEZWA NAO" - ila ALIYE NA UWEZO WA KUWAJUA HAO WATAKATIFU NI MUNGU MWENYEWE - KWANI MUNGU NDIYE ANAYEJUA MATENDO, MANENO NA MAWAZO YA MTU - YALE YAFANYWAYO SIRINI MBELE ZA MUNGU NI WAZI .............................. MOREOVER - KWA VILE CATHOLICS WANA KITABU KINGINE KINAITWA MISALE - LABDA WATAMWANDIKA HUMO KUWA MTAKATIFU ....OTHERWISE .... NI VIGUMU KUELEWEKA NYERERE KUWA MTAKATIFU - ALIENEZA INJILI WAPI?? ALISIMAMA IMARA KATIKA NENO LA MUNGU WAPI??? - Alikuwa busy na politics, kuwahukumu wapinzania wa siasa zake, na ndiye aliyesababisha foleni hivi sasa kwa kujenga barabara nyembamba akijua maisha yetu yote tutaishia kuendesha baiskeli - hakujua dunia ni ya mabadiliko ...... kweli TUNAMPOGENZA KWA KULETA UHURU BILA UMWAGAJI WA DAMU - ILA DAMU ILIMWAGIKA ALIPOWATUMA WAJESHI WETU - KUSAIDIA VITA MSUMBIJI, AFRICA KUSINI, UGANDA ETC...... NA WENGI WALIKUFA NA WENGI NI VILEMA HADI LEO