Staafisha watumishi wenye miaka 45 na zaidi,halafu anzisha ajira za mikataba ya miaka mitano mitano!

Wameshandaliwa wakiwa chuoni!!kutibu,kufundisha na n.k mtu alishaandaliwa na kufanya field usimamizi thabiti plus uwajibikaji ndio njia pekee kumbuka ess inaweza pia kutumika ku monitor task ya mtumishi!
 
Ili ufanisi ushuke!?...boresha ufuatiliaji kwa pepmis staff walete reports
 
Wazo zuri
 
Mikataba miaka mi tatu tatu tu hii itaongeza umakini na kuzuia mikopo ya anasa wanayo kopa na kukopeshwa wafanyakazi wa serikali.
 
Hajamaanisha kwamba huyo fresh graduate anakua mbadala wa mstaafu.
 
sijasoma sana lakini nitasoma labda tungepishana Kidogo kwenye maoni.

Angalau Mtu akifanya kazi miaka 20 ilikuwa inatosha kabisa vijana wampokee. Na si umri wa miaka 40 kama ulivyosema.
 
Walioajiriwa wamemaindi. Wanaogopa kuja mtaani kujiajiri halafu kutwa nzima kuwaponda vijana. Vijana ni wavivu. Vijana wanachagua kazi. Vijana hawaoni fursa za kujiajiri. Sasa tumekuelewa, achia ofisi uje kujiajiri. Blah blah kibao
 
Kwa kutumia sheria gani? Au mmezoea lawlessness?
 
 
We jamaa ni mpumbavu kweli. Hicho ulichokisema ni kitu ambacho akiwezekani mtumishi analipwa 900k makato anapokea 700k Matumizi yake kwa mwezi 700k –900k kwenda juu ina maana huyu anatakiwa afanye kazi mpaka siku yake ya mwishi kwahiyo hapo hujatatua tatizo . Ungetoa hoja ya msingi kuwa vijana tusisome kwa lengo la kuajiriwa basi
 
Mtoa post na Don Namilison mna akili zinaendana.
 
Wanaotaka kuajiriwa wameshaomba kwenye mfumo wa ajira portal!!

Hii itasaidia kuajiri pasipo interview uchwara zile ambazo hazina tija kabisa zaidi ya sarakasi tu za hapa na pale!
 
Ajira za mkataba ndio suluhisho kwa sasa!!kama Kuna haja ya kupandisha mishahara zaidi ya hapo wanaweza!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…