Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Exactly,yule msemaji wao ana maneno mengi mno,mengine hata sio ya kimchezo.
Wakijitahidi wanapata kamoja cha kufutia machozi
Yaani ndio kilichowaua simba leo. Mabeki wanakaba kwa macho.Kona mshambuliaji anaruka free heda...!
Tena na tena.
Mabeki wanamtizama tu.
Hata ku mdistabu hakuna
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku atakapotimuliwa huyu beberu ntafurahi sana, kocha asiyejua tactical know how za mpira wa kazi ganiKwani Mo anasemaje kuhusu kurudishwa Masoud Juma na kutimuliwa huyu beberu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Doooh inahuzunisha sana yaani kila kidole kimepitiwa na alama asee
Doooh inahuzunisha sana yaani kila kidole kimepitiwa na alama asee