Stade des Martyrs, Congo: AS Vita Club 5 - 0 Simba SC

Hapa lazima tukate rufaa!!!! haiwezekani na sikubali!!!! nitatafuta na sheria za caf tuone kama waasi wa M 23 wanaruhusiwa kushiriki maana wale wachezaji wanariho mbaya sana magoli 6 yaliyotinga nyavuni? hapana sijawahi kuona watu wenye roho mbaya kama wakongo hasa MAKOSU

Anguko letu na nani?sema anguko lenu nyie Mikia Manara wenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Naona makwasukwasu mmejaa kwenye huu uzi mnajisahaulisha kipigo chenu mlichopata😂😂😂😂
 
sisi wa stand tukutane wapi
azamtvtz___Bs0guJTh7KE___.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa lazima tukate rufaa!!!! haiwezekani na sikubali!!!! nitatafuta na sheria za caf tuone kama waasi wa M 23 wanaruhusiwa kushiriki maana wale wachezaji wanariho mbaya sana magoli 6 yaliyotinga nyavuni? hapana sijawahi kuona watu wenye roho mbaya kama wakongo hasa MAKOSU
Vipi sheria za tff zinaruhusu wapiga debe wa standi kucheza ligi kuu??
 
Back
Top Bottom