Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anguko letu na nani?sema anguko lenu nyie Mikia Manara wenuWatanzania wameamua kufurahia anguko letu
Mwakani tena Mtani,ile mipango yenu ya kufika fainali imeishie wapi?Hakika kwa hii beki tulionayo ni mzigo kwa kweli, tutajipanga mwakani mungu akitujalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaanza saa5 kasoro 5Vip game inaanza saa ngapi, maana nina uhakika simba itashinda
Hahahahaha, mi huwa sipendi mpira wala sifuatiliagi, ila 5 zinauma jamani, aisee..!