STAGE HII NAWEZA KUPATA HIV??

son of stev

Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
8
Reaction score
11
Natumai mko poa wote mentally and physically kinyume na hapo napenda kutoa pole..

Kama kichwa cha habari juu hapo kinavoulza...??

Tunaelewa katika hatua za mtu kupata HIV/AIDS kuna kpnd kifupi ambacho mtu hupitia kinaitwa WINDOW PERIOD ambacho huwa ni miez mitatu Mara tu baada ya mtu kupata maambukizi...!!

Kipindi hiki ni kipindi ambacho wale virus HIV wanakuwa bado hawajaanza kuzaliana saana kufika hadi kwenye mzunguko wa damu(blood circulation) kitu ambacho hata ukienda kupma huwez kutwa na ugonjwa kwa mujibu wa maelezo ya wataalam lakn wakat huo mtu kashaupata bla yy kujijua ndo mana karbu vtuo vyote vya afya ukisha Pima utaambiwa rudi baada ya miezi mitatu...!!

Je hiki kipnd ambacho mtu anakuwa kwenye WINDOW PERIOD cha miez mitatu wakati huo kashaupata na mm nkakutana naye kimwili na michubuko ikatokea wakati wa tendo ntaupata au siupati??

Nakaribisha majibu na maelezo ya kitaalam tafadhar!!
 
Kama alikutwa nao, ukakutana naye ukapata michubuko wakat wa tendo chances are 95% kupata na wewe
 
Hiv haijawahi leta madhara yoyote kwa binadamu
 
Window period inategemea na aina ya kipimo kinachotumika, katika kipindi hichi sii Kweli kwamba virus wanakuwa bado hawazaliani bali mwili huwa bado haujaanza kutengeneza anti body (askari wa mwili kwa ajili ya kupambana na virus) ambapo anti body huzalishwa kwa wingi na kuwa detectable Kuanzia siku ya 21 toka ulipopata exposure.

Katika kupima na kugundua maambukizi kuna vipimo vya anti body na antigen ambavyo ni common kwa sasa!

Kulingana na tafiti zilizofanyika upimaji kwa njia ya antibody siku ya 28 yaani four weeks after exposure hukupa majibu kwa 95% Inashauriwa kuconfirm wiki ya 12 na upimaji wa both antibody and antigen ( Combo kit) window period ni siku 28 tu!

Ikitokea kila mmoja wenu amechubuka kukawa kuna mgusano na mwingiliano wa mgusano Katika michubuko basi maambukizi yanatokeq
 
wataalamu wataendelea kutiririka we baki na nawao
 
Hivi naomba kujuzwa, kama umetoka ku sex, then ukaosha dyudyu na spirit, kama kuna michubuko ile spirit inaweza kuua virus kama wapo?
 
Hivi naomba kujuzwa, kama umetoka ku sex, then ukaosha dyudyu na spirit, kama kuna michubuko ile spirit inaweza kuua virus kama wapo?
Mkishapata michubuko andika umekwenda na maji
 
HIV ujanja ujanja tu....we Kula maisha mi toka 2010 niliacha kutumia condom baada ya kugonga demu mmoja mtaani nikaambiwa huyo demu kaungua basi nikasema mi sivai tena ndomu.

Toka 2010 nagonga peku pekua nishamaliza kuanzia wabongo,waswati mpaka wasouth na Nina watoto watatu kila mtoto na mama ake wote mama zao walikuwa wanapima toka mimba ina miezi mitatu mpaka wanajifungua na wapo salama salimini wao na watoto wao.

We kula maisha mzee HIV ni janja ya wazungu ndio maana Thabo Mbeki aliwaumbua wakamfanyia zengwe wakamchomoa madarakani..

Hii kitu Deception kazungumzia sana humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…