son of stev
Member
- Jul 6, 2018
- 8
- 11
Natumai mko poa wote mentally and physically kinyume na hapo napenda kutoa pole..
Kama kichwa cha habari juu hapo kinavoulza...??
Tunaelewa katika hatua za mtu kupata HIV/AIDS kuna kpnd kifupi ambacho mtu hupitia kinaitwa WINDOW PERIOD ambacho huwa ni miez mitatu Mara tu baada ya mtu kupata maambukizi...!!
Kipindi hiki ni kipindi ambacho wale virus HIV wanakuwa bado hawajaanza kuzaliana saana kufika hadi kwenye mzunguko wa damu(blood circulation) kitu ambacho hata ukienda kupma huwez kutwa na ugonjwa kwa mujibu wa maelezo ya wataalam lakn wakat huo mtu kashaupata bla yy kujijua ndo mana karbu vtuo vyote vya afya ukisha Pima utaambiwa rudi baada ya miezi mitatu...!!
Je hiki kipnd ambacho mtu anakuwa kwenye WINDOW PERIOD cha miez mitatu wakati huo kashaupata na mm nkakutana naye kimwili na michubuko ikatokea wakati wa tendo ntaupata au siupati??
Nakaribisha majibu na maelezo ya kitaalam tafadhar!!