Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Mada yenyewe yenye hizo shocking claims hii hapa https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/96470-baba-kwa-binti-aliyemzaa-mwenyewe.html
The whole thing is absolutely and simply ridiculous.
Hiyo tabia sio sehemu ya culture ya mtu yeyote yule....ni tabia ya watu BINAFSI ambao akili zao zimehesabiwa.
Weye unayejua kutongoza hebu tupe darsa kidogo............ sio kutongoza mabaamedi ndo unaona umeshakwalifai.......Nani kakwambia wachaga wanajua kutongoza mkuu, zao ni kubeba tu kama fisi anavyobeba mzoga
Jamani muachage kututisha! Msije kunifanya niende kibosho bure, maana nina gf ( my future wf) na ni mtoto wa mwisho. Ina maana dingi ananisaidia?au jamaa anaweza siku akampiga ngwara akaoa!!! I think these customs are too old to b true.Dada hii kitu bado ipo asikwambie mtu kuwa imeisha. Binafsi niliambiwa hii ngoma bado inaendelea tena kwa sana ru. Sema wachaga ni watu wa siri sana hawaweki hadharani mambo yao ndiyo maana huwa hawapendi hata watoto wao wa kiume waoe makabila mengine wakihofia mambo haya yao kujulikana na watu wa 'mataifa'.
Pia kuna hii ya wazazi kutembea na wake za watoto wao ambao wako mikoani wakitafuta mali. Hili nalo ni kweli, we ukioa then unamuacha mkeo kwenu uchagani migombani, basi baba huwa anapasha moto wakati mtoto haupo na kama akipata mimba mtoto atahesabika ni wako wewe mtoto na sio wa baba.
Pia kuna hii ya wazazi kuwaamkia watoto wao wa kuwazaa, kisa eti wana hela. Mila nyingine bwana ni vichekesho kwa kwenda mbele
mkuu mambo mengine uwe unaandika huku umefanya study ya kutosha na sio kukurupukadada hii kitu bado ipo asikwambie mtu kuwa imeisha. Binafsi niliambiwa hii ngoma bado inaendelea tena kwa sana ru. Sema wachaga ni watu wa siri sana hawaweki hadharani mambo yao ndiyo maana huwa hawapendi hata watoto wao wa kiume waoe makabila mengine wakihofia mambo haya yao kujulikana na watu wa 'mataifa'.
Pia kuna hii ya wazazi kutembea na wake za watoto wao ambao wako mikoani wakitafuta mali. Hili nalo ni kweli, we ukioa then unamuacha mkeo kwenu uchagani migombani, basi baba huwa anapasha moto wakati mtoto haupo na kama akipata mimba mtoto atahesabika ni wako wewe mtoto na sio wa baba.
Pia kuna hii ya wazazi kuwaamkia watoto wao wa kuwazaa, kisa eti wana hela. Mila nyingine bwana ni vichekesho kwa kwenda mbele
mkuu mambo mengine uwe unaandika huku umefanya study ya kutosha na sio kukurupuka
una ndugu yako ameshawahi kupigwa ngwara nini siku za hivi karibuni?hayo mambo kweli yapo, na sidhani kama yameisha kabisa, alichokiandika ni ukweli, suala hilo na ile tabia ya ukeketaji inayoendelea kufanywa kwenye maeneo hayo kimyakimya, ni ya kupigwa marufuku sana na ikiwezekana watuhumiwa wauawe kabisa.
mkuu mambo mengine uwe unaandika huku umefanya study ya kutosha na sio kukurupuka
una ndugu yako ameshawahi kupigwa ngwara nini siku za hivi karibuni?