"Staili" ya kuoa suria kwa wachaga...

"Staili" ya kuoa suria kwa wachaga...

hii staili na ka-HIV wanakapimia macho???
 
The whole thing is absolutely and simply ridiculous.
Hiyo tabia sio sehemu ya culture ya mtu yeyote yule....ni tabia ya watu BINAFSI ambao akili zao zimehesabiwa.

That's what I thought too!

I have been around Chagas for so long and I have never ever heard of such. I don't claim to know everything nor heard of everything but that one there didn't pass my credulity test. Thankfully I am accustomed to thinking for myself.
 
Duuu...................... Huko siingilii.
 
sasa hv hizi mila za kizamani zinapigwa vita sana, na haya magonjwa yalivojaa!
 
Nani kakwambia wachaga wanajua kutongoza mkuu, zao ni kubeba tu kama fisi anavyobeba mzoga
Weye unayejua kutongoza hebu tupe darsa kidogo............ sio kutongoza mabaamedi ndo unaona umeshakwalifai.......
 
Cjui bora sie tunaowaambiaga TWENDE NIKAKURENGE basi.......
 
Dada hii kitu bado ipo asikwambie mtu kuwa imeisha. Binafsi niliambiwa hii ngoma bado inaendelea tena kwa sana ru. Sema wachaga ni watu wa siri sana hawaweki hadharani mambo yao ndiyo maana huwa hawapendi hata watoto wao wa kiume waoe makabila mengine wakihofia mambo haya yao kujulikana na watu wa 'mataifa'.

Pia kuna hii ya wazazi kutembea na wake za watoto wao ambao wako mikoani wakitafuta mali. Hili nalo ni kweli, we ukioa then unamuacha mkeo kwenu uchagani migombani, basi baba huwa anapasha moto wakati mtoto haupo na kama akipata mimba mtoto atahesabika ni wako wewe mtoto na sio wa baba.

Pia kuna hii ya wazazi kuwaamkia watoto wao wa kuwazaa, kisa eti wana hela. Mila nyingine bwana ni vichekesho kwa kwenda mbele
Jamani muachage kututisha! Msije kunifanya niende kibosho bure, maana nina gf ( my future wf) na ni mtoto wa mwisho. Ina maana dingi ananisaidia?au jamaa anaweza siku akampiga ngwara akaoa!!! I think these customs are too old to b true.
 
I wonder km sio wachaga watu wengne mngetoa wapi topics manake cku ikipita CHAGA haijatamkwa humu then jua halitazama 4 sure...!
 
Mwanaume kama huyo ni kumvuta tu mambo yake mpaka umuhasi, halafu unafungua kesi ya ubakaji, unajieleza ulifanya hivyo ili asikubake na uweze kurudi nyumbani sio kulala kwake, nani anayetaka kuolewa na mtu asiyempenda moyoni mwake, kwangu sijui kama tutadumu na ikiwezekana kama hutaki kuniacha utakipata pata, si ajabu nika kumachame kimyakimya.
 
dada hii kitu bado ipo asikwambie mtu kuwa imeisha. Binafsi niliambiwa hii ngoma bado inaendelea tena kwa sana ru. Sema wachaga ni watu wa siri sana hawaweki hadharani mambo yao ndiyo maana huwa hawapendi hata watoto wao wa kiume waoe makabila mengine wakihofia mambo haya yao kujulikana na watu wa 'mataifa'.

Pia kuna hii ya wazazi kutembea na wake za watoto wao ambao wako mikoani wakitafuta mali. Hili nalo ni kweli, we ukioa then unamuacha mkeo kwenu uchagani migombani, basi baba huwa anapasha moto wakati mtoto haupo na kama akipata mimba mtoto atahesabika ni wako wewe mtoto na sio wa baba.

Pia kuna hii ya wazazi kuwaamkia watoto wao wa kuwazaa, kisa eti wana hela. Mila nyingine bwana ni vichekesho kwa kwenda mbele
mkuu mambo mengine uwe unaandika huku umefanya study ya kutosha na sio kukurupuka
 
Wasambaa na wapare wanazo hizo pia....
 
mkuu mambo mengine uwe unaandika huku umefanya study ya kutosha na sio kukurupuka

Hayo mambo kweli yapo, na sidhani kama yameisha kabisa, alichokiandika ni ukweli, suala hilo na ile tabia ya ukeketaji inayoendelea kufanywa kwenye maeneo hayo kimyakimya, ni ya kupigwa marufuku sana na ikiwezekana watuhumiwa wauawe kabisa.
 
hayo mambo kweli yapo, na sidhani kama yameisha kabisa, alichokiandika ni ukweli, suala hilo na ile tabia ya ukeketaji inayoendelea kufanywa kwenye maeneo hayo kimyakimya, ni ya kupigwa marufuku sana na ikiwezekana watuhumiwa wauawe kabisa.
una ndugu yako ameshawahi kupigwa ngwara nini siku za hivi karibuni?
 
mkuu mambo mengine uwe unaandika huku umefanya study ya kutosha na sio kukurupuka

Wanaoamkia vijana wenye pesa nyingi huwa si wazazi wa kuwazaa, huwa ni wale watu wazima wapumbavu wa ukoo huo, wengi ni walevi, wapenda starehe, wanawaamkia hao vijana ili wapate bia na nyama choma, ni wazee wapuuzi wasio staarabika.
 
una ndugu yako ameshawahi kupigwa ngwara nini siku za hivi karibuni?

Hapana, but kuna ndugu yangu kabisa miaka hiyo yalishawahi kumkuta, she was so so beautiful, but alishafariki, yeye alikuwa mkorofi, hakukaa muda kwa huyo jamaa, alitoroka akaja Dar kwa dada yake na maisha yakamwendea poa, hiyo tabia ni mbaya sana.
 
Back
Top Bottom