Emanuel Makofia
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 3,832
- 635
Ni mvinyo kweli? Nadhani watakuwa wanavuta midude yao manake nshawahi ona documentary moja na kuna jamaa walikuwa wanavuta nadhani ni tumbaku au miulevi yao mingine manake hapo kwa juu kuna moshi fulani hivi!
Natamani hii picha ingetokea hapo juu mbona inachekesha sana Mvinyo unapigiwa kwenye Kiko?π
Siyo kiko FL,ni mrija angalia vizuri juu kabisa kuna barafu!!π
Staili ya kupiga mvinyo Dubai π