Staili ya kupiga mvinyo

Staili ya kupiga mvinyo

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2010
Posts
3,832
Reaction score
635
Staili ya kupiga mvinyo Dubai 😀
 
Attachments

  • mvnyo.jpg
    mvnyo.jpg
    110.3 KB · Views: 216
Natamani hii picha ingetokea hapo juu mbona inachekesha sana Mvinyo unapigiwa kwenye Kiko?😀
 
Ni mvinyo kweli? Nadhani watakuwa wanavuta midude yao manake nshawahi ona documentary moja na kuna jamaa walikuwa wanavuta nadhani ni tumbaku au miulevi yao mingine manake hapo kwa juu kuna moshi fulani hivi!
 
Siyo moshi ni barafu ya kubaridisha mvinyo😀
 
attachment.php

Tumbaku inaitwa mvinyo siku hizi? Hata hapa mitaa ya kati ipo pia...slipway
 
Huu sio mvinyo bana ni Shisha hiyo asili yake ni Asia watu huvuta hiyo wakiwa na imani kuwa tumbaku yake inachujwa kuliko sigara lakini si kweli na huwa inaruhusiwa hata kwa kipindi cha mfungo wao kule kwa waarabu
 
Hio ni Sheesha wajameni, hata huku A-town maeneo ya Maasai Camp inapatika plzzzz.. na hapo juu yake ni mkaa wa moto au vijinga vya moto na wala si barafu wazeya ////
 
Back
Top Bottom