Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

NewPage

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2021
Posts
1,321
Reaction score
2,106
Kumekuwa na mkakati mkali wa BAVICHA na BAWACHA kupata fedha na kuwalipa vijana wa vijiweni mikoa yote ili waandike maneno MBOWE si GAIDI kwenye mawe na miti mikubwa mikubwa pembezoni mwa barabara kama alivyofanya Mwigulu wakati akitafuata Urais wa nchi hii mwaka 2015.

Hii mbinu ninaona italeta mfanikio makubwa sana kufikisha ujumbe huo kwani hata watoto wadogo wataelewa na kuamini Mbowe anafanyiwa uonevu.

Rais wangu SSH hebu tafadhali ingilia kati - mwachieni Mbowe hana madhara makubwa akiwa huru kuliko anavyowekwa ndani. Jamani jamani MSIFANYE HIVYO!

Updates:
Mradi husika umeshaanza kutekelezwa, vijana wanaohitaji kazi hii inasemekeana wameombwa waripoti Ofisi zote za Chadema kuanzia vijijini hadi Taifani.
 
Back
Top Bottom