Staili ya Mwigulu ya kuchora majina yake kwenye mawe na miti kutumika na CHADEMA kumtetea Mbowe

Utawala wa kisheria. Rais hapaswi kuingilia uhuru wa mahakama na kumwachia huru gaidi.
 
sikio la kufa
 
Ngoja nitume hela kwenye ila CashApp na Paypal walizotoa vijana wajipatie ajira...

Mama in this kafeli mno,kajipaka matope mwanzo mwisho,na watamsumbua mpaka ajione hovyo kabisa
Tayari mpango huu unatekelezwa kwa kasi na vijiji kila jiwe litakuwa linaandikwa kwa shilingi 3000, wilayani kwenye kuta na miti shilingi 5000 na kwenye Majiji kuta na sehemu zingine zinazowezekana ni shilingi 10,000/-
 
Tutafuta hiyo si kwasababu Sheria na Katiba inasema Mahama haipaswi kuingiliwa na ndiyo yenye mamlaka ya kumsafisha imewahi kufanya hivyo mara kadhaa hata kwa huyohuyo Mtuhumiwa wa Ugaidi.

Ukiwa mtenda mabaya Hata wewe mwenyewe hujijui na ukiambiwa utasema unaonewa ndiyo maana utaratibu ukawekwa na kuipa Mahakama mamlaka ya kumsafisha au kinyume chake.

Lakini kwa macho ya kawaida uwezekano wa kufadhili vitendo vya kigaidi ni mkubwa sana kutokana na kutumia harakati Katika kutekeleza matakwa ya Kisiasa kuanzisha vikundi vya kiulinzi mavazi ya kivita hamasa za chuki, kashfa ubaguzi ILI kuwatisha watu vinaweza kuashiria vitendo vya kigaidi kwa maana ya Ugaidi ni neno linalotokana na terror (kutisha) lililozaa terrorist je, Katika matendo ya huyu jamaa hayaendani na maana ya terror? Hatahivyo tuiachie mahakama itatoa muongozo (Precedent) ILI maisha yaendelee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…