Staili ya utekaji unaoendelea inashabihiana ile ya enzi za mazombi Zanzibari

Staili ya utekaji unaoendelea inashabihiana ile ya enzi za mazombi Zanzibari

kagoshima

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2015
Posts
3,528
Reaction score
6,856
Kwa tuliofatilia siasa za zanzibar miaka ya nyuma kidogo mtakumbuka matukio mengi yanayo fanana na haya yaliyokua yakitokea huko Zanzibar.

Watu walikua wanatekwa, tena usk wa manane na kuuawa au kujeruhiwa.. hivihivi kama inavyotokea bara sasa. Hii inaonyesha mwasisi wa hii project ni mtu mmoja. Tuendeleze mapambano.
 
Mazombi ilikua wakati wa uchaguzi tu, mazombi walikua hawateki mazombi walikua mpaka wakukute Barabarani. Ila Hawa wa sasa hivi sio mazombi ni devil himself
 
Mazombi si wakati wa uchaguzi tu. Baraka Shamte alitekwa na utawala wa Mwinyi kukiwa hakuna uchaguzi. Na kosa ni kusema 2025 atupishe.
 
Watanganyika mkiwa kimya,ninawaambia ukweli mtakuwa na wakati mgumu usio wa kawaida Mwigulu naye waziri mkuu unategemea nini??
 
Huyu kiumbe ni kama vile amenogewa na huu uhalifu wake wa kuteka watu na hata wengine kuwaua. Ifikie wakati kila mtu ajilinde mwenyewe.
 
Kuna Crip Inatrend TikTok DR Slaa anasema yule mwenyekiti wa Chadema TEMEKE alitekwa na Chadema wenyewe walidhani amekufa wakaenda kumtupa Uninio
 
Back
Top Bottom