Kwa tuliofatilia siasa za zanzibar miaka ya nyuma kidogo mtakumbuka matukio mengi yanayo fanana na haya yaliyokua yakitokea huko Zanzibar.
Watu walikua wanatekwa, tena usk wa manane na kuuawa au kujeruhiwa.. hivihivi kama inavyotokea bara sasa. Hii inaonyesha mwasisi wa hii project ni mtu mmoja. Tuendeleze mapambano.
Mazombi ilikua wakati wa uchaguzi tu, mazombi walikua hawateki mazombi walikua mpaka wakukute Barabarani. Ila Hawa wa sasa hivi sio mazombi ni devil himself