Stak kunyanyasika!

Amebadilika nini Demiss: [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Amebadilika nini Demiss: [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndo ushangaeeeeeeeeeeee wewe

Sema wewe wine wanyweka kwenye glass za mwanamke nyogaaa

Mimi togwaaaa nanyweka kwenye vipeyuuuuuuu


Mxeeeeew
 
Inaonesha bado unampenda ndo maan umemwanzishia Uzi humu..maelezo yako yanaonesha issue kubwa ni kipato ,pambana kutafuta heshima itakufata... BTW pole mkuu kwa kunyanyaswa!
Taaaawileee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kwa raha zanguu babu weeeeeee

Maisha yenyewe haya haya amesahau nn

Wewe ulisema chann wenzio tukasema tutakipata lini

Na akupisheee kabisa chefuuuuuuuuuu


Mxieeeeeeeeeeeeeeew
hahaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…