Stake ya nyama 1kg inatoa mishikaki mingapi?

jey n

Senior Member
Joined
Dec 15, 2018
Posts
159
Reaction score
145
Jamani kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa na hili.
 
Kuna mahali fulani tulikuwa tukifanya hivi,ukinunua nyama ya elfu 6,unahakikikisha unakadiria inatoka mishikaki si chini ya elfu 12,ya elfu 5 si chini ya elfu 10,ya elfu 10 si chini elfu 20.So idadi ya mishikaki inategemea pia na kila mshikaki unauzaje.
 
Kama upo DSM, zile mishikaki za buku buku Yaani zile za viwanja km night clubs hv kilo moja hutoa 16
 
Kuna mahali fulani tulikuwa tukifanya hivi,ukinunua nyama ya elfu 6,unahakikikisha unakadiria inatoka mishikaki si chini ya elfu 12,ya elfu 5 si chini ya elfu 10,ya elfu 10 si chini elfu 20.So idadi ya mishikaki inategemea pia na kila mshikaki unauzaje.
Nimekusoma mkuu
 
Back
Top Bottom