Inategemea na ukubwa wa mshkakiJamani kama kichwa cha habari kinavyoeleza naombeni msaada wenu kwa wenye uelewa na hili.
Nimekusoma mkuuKuna mahali fulani tulikuwa tukifanya hivi,ukinunua nyama ya elfu 6,unahakikikisha unakadiria inatoka mishikaki si chini ya elfu 12,ya elfu 5 si chini ya elfu 10,ya elfu 10 si chini elfu 20.So idadi ya mishikaki inategemea pia na kila mshikaki unauzaje.